MLIOWAI KUFANYA SAILI KATIKA SHULE ZA PRIVATE AU SERIKALI WEKA HAPA SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL.
Mimi nimepata hayo
Pitia kwa makini slides za CT na EP hususani maeneo kama vile;
1. Bloom Taxonomy
2. Professionalism of Education (Class Management na Types of student, Teaching techniques)
3. Curriculum (Scheme of Work, Lesson plan)
4. Education Research
5. Teaching Methods (Pedadogy in Education)
Haya hapa Maswali ya interview ya ualimu (Usaili Wa Walimu) Ajira Portal katika nafasi za kazi mblimbali zilizo tangazwa na Utumishi Sekretarieti ya Ajira. Pitia haya maswali kwa umakini ujiweke katika njia sahihi.
Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu
1. Eleza maana ya “ELIMU”.
2. Taja sifa za mtu aliyeelimika.
3. Taja na fafanua njia kuu tatu za kupata elimu.
4. Taja na fafanua madhumuni manne ya elimu ambayo yanakidhi nchi zote duniani.
5. Chagua madhumuni matano kati ya...
HAYA HAPO JUU MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (LITERATURE)
Ni kitabu lakini ukiyapitia kwa umakini kwa kuzingatia lazima utapata kitu, hivyo kama kuna mtu ana maswali Join kwenye discussion hapo chini kisha andika au upload tafadhali.
Maswali ya usaili kada ya Ualimu (Walimu) - Sera ya Elimu
Maswali ya Interview kada ya Ualimu (Walimu) - Sera ya Elimu in English
Kuandaa darasa - CT 100
EA 300 notisi zote
EF 303 - Ethics