Search results
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU (PCCB) 2026 PDF Takukuru Interview P
Haya hapa Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU (PCCB) 2026 PDF login kwenye account yako ya ajira takukuru/pccb na uangalie umekuwa shortlisted au not shortlisted. Ingia hapa https://ajira.pccb.go.tz/login -
Walioitwa kwenye Usaili Liwale 21-05-2026
Hili hapa tangazo la majina ya walioitwa kwenye usaili Naomba Kumb.Na.BA.150/206/01/93 la tarehe 20/04/2026 pamoja na tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili lenye Kumb. Na.HA.263/300/01/05 la tarehe 15/05/2026, Halmashauri ya Wilaya ya Liwale imefanya nyongeza ya majina ya waombaji... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 19-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 2 hadi 4 Mei, 2026 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Pakua PDF... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 18-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 15-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Taasisi mbalimbaliza Umma Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-04-2025 na tarehe 17-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA BARIADI 15-05-2026 AJIRA PORTAL
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 01-06-2025 na tarehe 27-01-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama... -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE 20-05-2026 AJIRA PORTAL
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye... -
MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 18/05/2026 AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika terehe 18/05/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapa SENIOR FINANCE MANAGEMENT... -
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 16/05/2026 AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 16/05/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapa ASSISTANT LAND SURVEYOR II GIS... -
Nafasi za kazi TFS 15-05-2026
Hili hapa tangazo la Nafasi 8 za Kazi Dereva TFS Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa Watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi katika ajira mpya hizi zilizotangazwa siku ya leo tarehe 15/05/2026. -
Maswali ya Usaili Planning officer II 15-05-2026
Haya hapa maswali ya Usaili Planning officer II yaliyofanyika kama una mengine ongezea hapo kwenye reply. Pakua PDF hapo chini -
Maswali ya usaili assistant airport security officer Interview Questions
Haya hapa Maswali ya usaili assistant airport security officer yaliyo ulizwa- Sia
- Thread
- Replies: 1
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
Walioitwa kwenye Usaili MORUWASA 12-05-2026
Haya hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili MORUWASA Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) anapenda kuwataarifu Waombaji kazi wote walicomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia 18/05/2026 hadi 20/05/2026 hatimaye kuwapangia... -
TANGAZO LA MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA KUAHIRISHWA KWA USAILI AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo na kuahirishwa kwa usaili. Wasailiwa wa kada zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya. -
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2026 (SHULE ZOTE) ANGALIA Form six 2026/2027 S
Haya hapa matokeo ya kidato cha sita 2026 shule ya secondary kila mkoa yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2025 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu. Angalia matokeo hapa. https://www.necta.go.tz Au angalia kupitia NECTA... -
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2026 SHULE YA FORM SIX RESULTS
Haya hapa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (ACSEE) 2026 shule ya secondary zote yaliyotangazwa na Baraza la Mtihani Tanzania leo hii Angalia matokeo yako hapa https://www.necta.go.tz/results/view/acsee -
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 09/05/2026 AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 09/05/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapa. ASSISTANT INSTRUCTOR II... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 08-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 21-01-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu... -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Taasisi mbalimbali za Umma 08-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC), Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 05-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi mbili (2) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo...