Search results
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA ARTISAN GRADE II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) SHIRIKA LA MZINGA AJIRA PORTAL
Katibu, Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa kada ya ARTISAN GRADE II ( MOTOR VEHICLE MECHANICS) wa Shirika la Mzinga kuwa, usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10/05/2026, 03/06/2026 na tarehe 04/06/2026 umeahirishwa kutokana na sababu zilizo... -
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) ULIOFANYIKA TAREHE 04/05/2026 AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu Ardhi (ARU) uliofanyika tarehe 04/05/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na mahali pa usaili. Pakua PDF hapa ASSISTANT LIBRARIAN TRAINEE (1) RESEARCH FELLOW TRAINEE - CIVIL ENGINEERING RESEARCH FELLOW TRAINEE -... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO 04-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo ka kuitwa kazini Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-12-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 04-05-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 04-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu... -
MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI WA TAA, GST, MOI, CBE NA IAE AJIRA PORTAL
Haya hapa mabadiliko ya ratiba ya usaili wa TAA, GST, MOI, CBE NA IAE Wasailiwa wa kada zote zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya. Angalia hapa... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 28-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 28-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WIZARA YA KILIMO 27-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa kuitwa kazini Wizara ya Kilimo 27-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 27-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 27-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni... -
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 25-26/04/2026 AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 25-26/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapa... -
Kuchelewa kutuma documents kwa dk chache
Mimi mwenyewe nilikujibu Whatsapp kuwa hakuna shida hapo -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 23-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 23-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 22-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 20-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 20-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni... -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) 21-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) 21-04-2026 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02/05/2026 hadi 04/05/2026 hatimaye kuwapangia... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME 21-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Tarime 21-04-2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 12 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) 23-04-2026 AJIRA PORTAL
Tangazo la nafasi za kazi chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) 23-04-2026 kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kwenye mfumo wa ajira portal. Pakua PDF hapa... -
Update kuhusiana na majibu ya Interview
Nahisi wakikutaka watakuita. Endelea kuvuta subra tu mkuu, sio kila ukimaliza usaili hapo hapo tu wakuite.