Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Fahad Bayo Agonga Mwamba Yanga Sc Dirisha Dogo

    Fahad Bayo Agonga Mwamba Yanga Sc Dirisha Dogo 2024/2025

    Club ya Young Africans, imeachana na mpango wa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda Fahad Bayo, baada ya mchezaji huyo kushindwa kuonyesha kiwango bora ambapo pengine kingeweza kuushawishi uongozi pamoja na benchi la ufundi. Licha ya kufanya na mazoezi na klabu hiyo katika viwanja...
  2. Caf Yaongeza Zawadi Kwa Mashindano Ya CHAN

    Caf Yaongeza Zawadi Kwa Mashindano Ya CHAN 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ongezeko kubwa la zawadi kwa washindi wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ya mwaka 2025 yatakayofanyika Kenya, Tanzania, na Uganda. Zawadi ya mshindi wa michuano hii imeongezwa kwa asilimia 75, ambapo sasa mshindi atapata dola 3.5milioni ambazo...
  3. Robert Matano Mbioni Kutambulishwa Kocha Mkuu Fountain Gate Fc

    Robert Matano Mbioni Kutambulishwa Kocha Mkuu Fountain Gate Fc 09 January 2025

    Raia wa Kenya Robert Matano (60) 🇰🇪 ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate 🇹🇿 akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni. Mazungumzo ya pande zote mbili yamekamilika na tayari amewasili Tanzania. Kocha huyo wa zamani wa klab ya Tusker fc ya Kenya Muda wowote...
  4. Yasin Mustapha Ni Mali Ya Tabora United Fc

    Yasin Mustapha Ni Mali Ya Tabora United Fc 09 January 2025

    Klabu ya Tabora United FC imekamilisha usajili wa beki Yassin Mustapha akitokea Mtibwa Sugar FC Mustapha amejiunga na klabu ya Tabora United FC akiwa Mchezaji huru baada ya kuachana na Mtibwa Sugar FC. Ikumbukwe Mtibwa Sugar Fc ilishuka Daraja kutoka Ligi kuu Nbc PL na kushuka Ligi ya...
  5. Simba Sports Club Kuwafuata Bravo Do Maquis Kesho Alfajiri

    Simba Sports Club Kuwafuata Bravo Do Maquis Kesho Alfajiri 09 January 2025

    Kikosi cha Wachezaji 22 watakaosafiri Kesho Alfajiri kuelekea Angola kuwafuata FC Bravos Maquis katika mchezo wa CAF Confederation Cup utakaochezwa jumapili Huku wachezaji kadhaa wakikosekana Kwenye safari hiyo, Desse Mukwala, Valentin Nouma, Aishi Manula na wengineo.
  6. Cassius Mailula Azigombanisha Wydad Athletic Club Na Toronto Ya Marekani

    Cassius Mailula Azigombanisha Wydad Athletic Club Na Toronto Ya Marekani

    Timu ya Toronto Fc ya nchini Marekani inakumbana na upinzani kutokea kwenye klabu ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco katika jitihada za kumrejesha kikosini mchezaji wao Cassius Mailula aliyepo kwenye klabu hiyo kwa mkopo wa mwaka mmoja ukiwa na kipengele cha kumsajili moja kwa moja. Toronto...
  7. Ibrahim Parapanda Ni Mali Ya Fountain Gate Fc Kwa Mkopo

    Ibrahim Parapanda Ni Mali Ya Fountain Gate Fc Kwa Mkopo

    Klabu ya fountain gate fc Imemtambulisha Mlinda lango wao Mpya Ibrahim Parapanda Ibrahim parapanda amejiunga na klab ya Fountain Gate kwa mkataba wa Mkopo akitokea singida black star Parapanda alikuwa nje ya kikosi cha Singida Black Stars kutokana na Majukumu ya Kijeshi, Sasa amemaliza na...
  8. Eric Sekuo Chelle Kocha Mpya Timu Ya Taifa Nigeria Leo

    Eric Sekuo Chelle Kocha Mpya Timu Ya Taifa Nigeria Leo January 08, 2025

    Shirikisho la mpira wa miguu nchini Nigeria 🇳🇬 NFF limetangaza bwana Eric Sekuo Chelle kuwa kocha wa timu ya taifa hilo. Kabla ya kuchaguliwa kuwa kocha wa taifa hilo aliwahi kuifundisha timu ya taifa la mali kuanzia mwaka 2022 Hadi 2024.
  9. Yanga Yawakosa Nyota Wake Watatu Kufuatia Mchezo Wa Ungwe Ya Tano Dhidi Ya Al Hilal Kwenye TotalEnergies CAFCL

    Yanga Yawakosa Nyota Wake Watatu Kufuatia Mchezo Wa Ungwe Ya Tano Dhidi Ya Al Hilal Kwenye TotalEnergies CAFCL 2024/2025

    Uongozi soka ya Yanga imethibitisha kuwa klabu hiyo bado inaendelea kuwakosa nyota wao muhimu,Aziz Andambwile, Yao Kouassi Atouholla na Max Mpia Nzingeli. Repoti kutoka kwa daktari wa klabu hiyo Etutu Moses zinaeleza kuwa bado wanaendelea na matibabu kwa wiki chache zijazo. Isipokuwa Clatous...
  10. Yanga Sc Wasijiamini Kupitiliza, George Ambangile Kuelekea Mechi Ya TotallyEnergy CAFCL

    Yanga Sc Wasijiamini Kupitiliza, George Ambangile Kuelekea Mechi Ya TotallyEnergy CAFCL 2024/2025

    Kufuatia Mchezo Unaofuata wa Yanga Dhidi Ya Al Hilal, Mchambuzi wa michezo George Ambangile anasema kuwa Yanga SC wasipige hesabu kisa Al hilal kuwa wamefuzu kama utakuwa mchezo mwepesi. “Yanga SC haitakiwi kumpigia hesabu Al Hilal kwa sababu wamefuzu basi wanaweza kumwachia..! Hapana hilo ni...
  11. Yanga Kuwafuata Al Hilal Omdurman Kesho Alhamisi

    Yanga Kuwafuata Al Hilal Omdurman Kesho Alhamisi 09 January 2025

    Klabu ya soka ya Yanga inatalajia kusafiri na kuelekea nchini Mauritania 🇲🇷 siku ya Alhamisi kwa ajili ya mchezo wa mzunguko wa tano dhidi ya Al Hilal. Taarifa iliyotolewa na Afisa habari wa klabu hiyo leo mapema bwana Ali Kamwe alieleza kwamba bado Yanga inayo nafasi kubwa ya kusonga mbele...
  12. Takwimu Za Al Hilal Omdurman Msimu

    Takwimu Za Al Hilal Omdurman Msimu 2024/2025

    Takwimu za Al Hilal Omdurman msimu wa 2024/2025 hadi kufikia sasa. Imecheza mechi 17 Imeshinda 11 Imepoteza 1 Imetoka sale 5. Mabao ya kufunga 28 Mabao ya kufungwa 9. ●Takwimu hizi ni kuanzia hatua ya mchujo michuano ya klabu bingwa ambapo Al Hilal ilianzia hatua ya awali dhidi ya Al...
  13. Tp Mazembe Yawafuata Mc Algiers Nchini Algeria Na Caf Yawapa Refa Kutoka Africa Kusini TotalEnergies CAFCL

    Tp Mazembe Yawafuata Mc Algiers Nchini Algeria Na Caf Yawapa Refa Kutoka Africa Kusini TotalEnergies CAFCL 2024/2025

    Klabu ya TP Mazembe imetuwa salama nchini Algeria 🇩🇿 kwa ajili ya mchezo wa ijumaa dhidi ya MC Algiers. Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limemchagua refa Ambongile Tom kutoka Afrika kusini kuchezesha mechi baina ya MC Algiers dhidi ya TP Mazembe. Mchezo huo utapigwa majira ya saa...
  14. Tp Mazembe Yawafuata Mc Algiers Nchini Algeria Na Caf Yawapa Refa Kutoka Africa Kusini TotalEnergies CAFCL

    Tp Mazembe Yawafuata Mc Algiers Nchini Algeria Na Caf Yawapa Refa Kutoka Africa Kusini TotalEnergies CAFCL 2024/2025

    Klabu ya TP Mazembe imetuwa salama nchini Algeria 🇩🇿 kwa ajili ya mchezo wa ijumaa dhidi ya MC Algiers. Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limemchagua refa Ambongile Tom kutoka Afrika kusini kuchezesha mechi baina ya MC Algiers dhidi ya TP Mazembe. Mchezo huo utapigwa majira ya saa...
  15. Tubuni Mkiwa Hai Bado Kwa Shomari Kapombe Wa Wekundu Wa Msimbazi

    Tubuni Mkiwa Hai Bado Kwa Shomari Kapombe Wa Wekundu Wa Msimbazi

    Zilipita Zilikuwepo na zikaondoka kwenye Ardhi ya Baba wa Taifa Mwl. Julius K Nyerere namba 2 bora sana Lakini hakuna aliyetikisa hata nusu ya Uwezo wa Shomari Kapombe. Ndani ya Ardhi hiii Hakuna namba 2 aliyewahi kucheza Katika Kiwango Bora kwa Zaidi ya Misimu 9 bila kushuka Kiwango chake zaidi...
  16. Hamdi Miloud Autaka Ushindi Singida Black Star Katika Nbc PL

    Hamdi Miloud Autaka Ushindi Singida Black Star Katika Nbc PL 2024/2025

    Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi mikoba ya Patrick Aussems, ameeleza kuwa na mpango wa kuifanya timu hiyo kuwa tishio Ligi Kuu Bara kulingana na ubora wa wachezaji alionao. “Tuna timu yenye vipaji vikubwa na nimejionea...
  17. Chama Arejea Yanga Kuelekea Mchezo Wa Michezo Ya Kilabu Bingwa Africa TotalEnergies CAFCL

    Chama Arejea Yanga Kuelekea Mchezo Wa Michezo Ya Kilabu Bingwa Africa TotalEnergies CAFCL 2024/2025

    Wakati Yanga wamewaka kwenye game hizi tano za mwisho …. Chama Clatous anarejea mazoezini kuongeza nguvu kwenye eneo la namba 10. Ramovic kikosi chake kinazidi kuwa kipana, wachezaji wenye majeraha wanaanza kurejea kwenye nyakati muhimu. Ni nyakati ambazo hazitakuwa na Excuse yeyote.…. Muhimu...
  18. Kazi Itakua Kubwa Endapo Simba Atamaliza Nafasi Ya Pili Kwenye Kundi Lake TotalEnergies CAFCC

    Kazi Itakua Kubwa Endapo Simba Atamaliza Nafasi Ya Pili Kwenye Kundi Lake TotalEnergies CAFCC 2024/2025

    SIMBA SC endapo wakimaliza nafasi ya pili kwenye kundi kuna hati hati ya kukutana na timu zifuatazo ambazo zinanafasi kubwa ya kumaliza kama vinara kwenye makundi yao. Rs Berkane(Moroco) USM Alger(Algeria) Zamalek(Misri) Vitu viwili kuzihusu hizi timu mbili. 1. Timu zote hizi tatu ni Recent...
  19. Nilisajiliwa Madrid Bila Mimi Kujua Asema Marcello

    Nilisajiliwa Madrid Bila Mimi Kujua Asema Marcello

    Beki wa zamani wa Real Madrid, Marcelo anatupa stori namna alivyojiunga na klabu hiyo. "Sitakuja kusahau mchakato wangu wa kujiunga na Real Madrid ulivyokuwa. "Siku moja mwakilishi wangu aliniambia: "Je, unataka kuichezea Real Madrid? Nikasema ndiyo. Akaniuliza Je, una girlfriend? Nikajibu...
  20. Mudathir Yahya Ni Mali Pale Yanga SC

    Mudathir Yahya Ni Mali Pale Yanga SC

    Yani kila ukimuangalia Mudathir Yahya unapata picha ya namna Kiungo Chuma anatakiwa kuwa, nazani ndio kiungo bora zaidi wa kati anaweza kuzuia njia za mipira ‘Ball paths’ kwa usahihi sana kutoka kwa mpinzani / actions. Ongeza hapo always available uwanjani dah💪🏿 hata Kocha Sead Ramovic anaona...
Back
Top Bottom