Hili hapa Tangazo la nafasi za kazi kutoka Bariadi November 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi amepokea kibali cha ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb.Na FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
NAFASI YA KAZI: MADEREVA ( 10 )
KAMPUNI: MAFUTA NA GESI
HR World Ltd Kwa niaba ya mteja wetu, tuna tafuta madereva wa Malori (Gari kubwa) na magari aina ya Tipper.
MAHITAJI;
• Barua ya Maombi ya kazi na CV
• Leseni ya Udereva daraja E
• Barua ya kusitisha au kumaliza mkataba na...
Hizi hapa Nafasi za kazi Coolblue Tanzania LTD November 2024 zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Bodi ya Chinangali BBT AMCOS Limited inatangaza nafasi ya kujitolea ya MENEJA (1) na MHASIBU (1). Tunakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa na walio na nia ya kujifunza na kuleta mabadiliko chanya katika chama chetu.
MAJUKUMU YA MENEJA
Meneja wa Chama atakuwa na wajibu wa kusimamia...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Nono Supermarket Tanzania zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa, waweze kutuma maombi.
1. Wahudumu (Supermarket Assistant)
Majukumu:
Kusindikiza wateja
Kumsaidia mteja kupata bidhaa kwa urahisi
Kuhakikisha bidhaa zilizopngua zinafika...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Shirika la Maternity Africa Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika zilizo tangazwa siku ya leo, unaweza kutuma maombi yako moja kwa moja kupitia barua pepe iliyopo kwenye tangazo.
Maternity Africa ni shirika lisilo la kiserikali linaloendeshwa kwa misingi ya Kikristo...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Taiga Gas Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya Mihan Gas zilizo tangazwa leo kwa watanzania wote wenye ari na nia ya kutuma maombi.
Taifa Gas Tanzania Limited, awali ilijulikana kama Mihan Gas Company Limited, ilianzishwa rasmi nchini Tanzania mwaka 2005, na namba...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya AWE kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutumia maombi kuanzia leo.
Ubalozi wa Marekani kwa kushirikiana na SELFINA na NMB Bank PLC unafurahia kuzindua maombi kwa ajili ya Programu ya Academy for Women...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania zilizo tangazwa siku ya leo unauwezo wa kutuma maombi kuanzia sasa.
Karibu katika Kituo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi Kibosho (KVTC), kitovu cha elimu ya ufundi stadi na maendeleo endelevu ya jamii kilichopo...
Hizi hapa Nafasi za Kazi NRAP International Ltd Novemba 2024 | Ajira Mpya Tanzania zilizo tangazwa siku ya leo unauwezo wa kutuma maombi kuanzia sasa.
NRAP International Ltd ni kampuni yenye dhima ya kisheria, iliyoandikishwa rasmi chini ya sheria za Jamhuri ya Tanzania. Tukiangazia mahitaji ya...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka SUMET Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
SUMET ni kampuni ya usambazaji inayokua kwa kasi na yenye kutumia teknolojia, ikibadilisha mchakato wa kuzindua bidhaa mpya, kujenga mfumo wa...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika zilizo tangazwa kwa siku ya leo kwa watanzania wote waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Shirika la Aqua-Farms (AFO) ni Shirika lisilo la Kiserikali lililosajiliwa chini ya Sheria ya Mashirika...
Hizi hapa Nchi za Afrika zinazoongoza kwa ukosefu wa ajira kuanzia mwaka 2023 mpaka 2024
NchiKiwango cha ukosefu wa ajira (%)Mwaka
Afrika Kusini33.52024
Angola32.32024
Djibouti27.92022
Botswana27.62024
Swaziland22.22023
Jamhuri ya Congo21.82022
Senegal21.62024
Sudan20.82023...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya Qhihaya General Enterprises Novemba 2024 | Ajira Mpya 200 za madereva zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye ari na nia ya kutuma maombi kuanzia leo.
Qhihaya General Enterprises Limited ni kampuni inayo husika na uzalishaji na usambazaji wa Nguzo za...
Hizi hapa Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea Maombi yawasilishwe katika ofisi za halmashauri husika kabla ya tarehe 15 Novemba, 2024.
Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lengo lakekuu ni kuchangia na kushughulikia...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) Novemba 2024 | Ajira Mpya zilizo tangazwa siku ya leo tarehe 8 Novemba 2024.
Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) ni Taasisi isiyo ya faida, iliyoanzishwa mwaka 2006 kwa lengo la kuhakikisha afya na ustawi kwa wote...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Mwanza Intervention Trials Unit (MITU) ni kitengo cha utafiti kilichopo kwenye kampasi ya Taasisi...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali...