Ajira za serikali kwa mwaka 2024 zimekuwa zikitafutwa na wengi nchini Tanzania, kutokana na uhakika wa kazi, faida za kijamii na kiuchumi, pamoja na mazingira bora ya kazi. Ajira hizi zinajumuisha nafasi katika sekta mbalimbali kama elimu, afya, uhandisi, usimamizi wa miradi, na utawala wa umma...
Ajira Mpya: Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwananyamala anawatangazia watanzania wenye sifa ya kuomba na kujaza nafasi sitini (60) za ajira ya Mkataba wa kujitolea, kuleta maombi yao. Nafasi za kazi zinazotangazwa ni:
Nafasi zilizo tangazwa
DAKTARI II - Nafasi 13
Mwombaji...
PSRS: Sekretarieti ya Ajira leo tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
PSRS: Leo, tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba amepokea kibali cha ajira chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Utawala Bora...
PSRS: Leo tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Kwa niaba ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, walio na uzoefu, wanaojituma na wabunifu kujaza nafasi sabini na tisa (79) za ajira kama...
PSRS: Leo Sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili UDOM, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2024 na Tarehe 30 Oktoba, 2024 na hatimaye...
PSRS: Leo 22 Octoba 2024, Mkurugenzi wa Mji Kasulu amepokea kibali cha ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumbu Na. FA.228/613/01/C/021 cha tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo watanzania wote wenye sifa...
Tanzania: Kwa niaba ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye uzoefu, wenye bidii, wabunifu, na waliohitimu vigezo vinavyofaa kujaza nafasi ishirini na tano (25) za kazi kama zilivyoainishwa hapa chini.
Shirika la...
Leo, Sekretarieti ya Ajira wametangaza nafasi za kazi Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kupata kibali cha ajira mbadala chenyeKumb.Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisiya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu ajira mpya.Mkurugenzi...