Hizi hapa Nchi za Afrika zinazoongoza kwa ukosefu wa ajira kuanzia mwaka 2023 mpaka 2024
NchiKiwango cha ukosefu wa ajira (%)Mwaka
Afrika Kusini33.52024
Angola32.32024
Djibouti27.92022
Botswana27.62024
Swaziland22.22023
Jamhuri ya Congo21.82022
Senegal21.62024
Sudan20.82023...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya Qhihaya General Enterprises Novemba 2024 | Ajira Mpya 200 za madereva zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye ari na nia ya kutuma maombi kuanzia leo.
Qhihaya General Enterprises Limited ni kampuni inayo husika na uzalishaji na usambazaji wa Nguzo za...
Hizi hapa Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea Maombi yawasilishwe katika ofisi za halmashauri husika kabla ya tarehe 15 Novemba, 2024.
Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lengo lakekuu ni kuchangia na kushughulikia...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) Novemba 2024 | Ajira Mpya zilizo tangazwa siku ya leo tarehe 8 Novemba 2024.
Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) ni Taasisi isiyo ya faida, iliyoanzishwa mwaka 2006 kwa lengo la kuhakikisha afya na ustawi kwa wote...
Kwa niaba ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS), Taasisi ya Uhasibu Arusha, Wizara ya Maji, na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa zinazofaa, walio na uzoefu, ari na mwamko kujaza nafasi za kazi mia moja na tano...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Manispaa ya Sumbawanga | Mji Newala Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka TACAIDS Novemba 2024 | Ajira Mpya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kutoka Utumishi kutuma maombi kuanzia leo.
Kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye ari, uzoefu, na sifa stahiki kuomba...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Novemba 2024 | Kuitwa kwenye Interview Mkoa wa Njombe baada ya zoezi hili utaweza kuona matokeo ya usaili baada ya muda.
MENEJA WA KANDA, TANROADS – NJOMBE anahusika na usimamizi wa kila siku wa mtandao wa barabara kuu na za mkoa...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Mwanza Intervention Trials Unit (MITU) ni kitengo cha utafiti kilichopo kwenye kampasi ya Taasisi...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, inatangaza nafasi za kazi za kujitolea kwa Kada mbalimbali kwa muda wa miezi kumi na mbili (12) kama ifuatavyo:-
NoKadaIdadi
1Afisa Muuguzi Msaidizi18
2Afisa Tehama1
3Mapokezi4
4Wapaguzi4
5Wahudumu wa chumba cha maiti2
6Mpiga picha1...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi - Halmashauri za Mkoa wa Katavi Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024/2025 yaliyo tangazwa leo tarehe 7 Novemba 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi - Halmashauri za Mkoa wa Singida Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal - Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 - Halmashauri za Mkoa wa Simiyu Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kiwanda cha MVU Group Tanzania Novemba 2024 - Ajira mpya kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi katika kiwanda hiki kuanzia leo angalia PDF sehemu ya chini.
Tangu kuanzisha kampuni yetu, tumesaidia biashara nyingi za ndani na za kimataifa kung'ara na...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 - Halmashauri za Mkoa wa Rukwa Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Insurance Group of Tanzania Novemba 2024| Ajira Mpya kwa Afisa Mauzo zilizo tangazwa leo kwa watanzania wote waweze kutuma maombi.
Insurance Group of Tanzania ni kampuni ya bima inayomilikiwa kwa kiasi kikubwa na Watanzania, na imesajiliwa na kupewa leseni na...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya Insurance Group Of Tanzania Novemba 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote waweze kutuma maombi kuanzia leo.
INSURANCE GROUP OF TANZANIA LTD ni kampuni ya kibinafsi inayomilikiwa na Watanzania na imesajiliwa kisheria kufanya biashara ya bima za jumla...