ajira

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Nafasi za kazi CCBRT Tanzania December 2024

    Nafasi za kazi CCBRT Tanzania December 2024

    Hizi hapa Nafasi za kazi CCBRT Tanzania Decemeber 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. CCBRT inalenga kuwa kituo bora cha huduma za afya maalum zinazopatikana kwa urahisi barani Afrika. Wanatoa huduma kama...
  2. Ajira Mpya Shule ya Al Muntazir Nafasi za kazi za Walimu wa Sekondari December 2024

    Ajira Mpya Shule ya Al Muntazir Nafasi za kazi za Walimu wa Sekondari December 2024

    Wananchi, Hizi hapa Ajira Mpya Shule ya Al Muntazir Nafasi za kazi za Walimu wa Sekondari December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. Nafasi zilizo tangazwa 1. Mwalimu wa English 2. Mwalimu wa Mathematics 3...
  3. Nafasi za kazi Mahawa Independent Schools 08-12-2024

    Nafasi za kazi Mahawa Independent Schools 08-12-2024

    Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Mahawa Independent Schools 08-12-2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. Nafasi zilizo tangazwa 1. Walimu 2. Madereva Pakua PDF hapa chini kama utakuwa na swali uliza.
  4. Nafasi za kazi 4 PIVOTECH Ajira Mpya Kampuni ya Trainee December 2024

    Nafasi za kazi 4 PIVOTECH Ajira Mpya Kampuni ya Trainee December 2024

    Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 4 PIVOTECH Ajira Mpya Kampuni ya PIVOTECH December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. PIVOTECH ni kampuni ya huduma za uhandisi inayobobea katika huduma za uendeshaji na...
  5. Nafasi za kazi Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Ajira Mpya NBAA December 2024

    Nafasi za kazi Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Ajira Mpya NBAA December 2024

    Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Ajira Mpya NBAA December 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, uzoefu, na bidii kushiriki kujaza nafasi mbili za kazi: Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama na...
  6. Nafasi za kazi 40 Kampuni ya E360 Tanzania December 2024

    Nafasi za kazi 40 Kampuni ya E360 Tanzania December 2024

    Hizi hapa Nafasi za kazi 40 Kampuni ya E360 Tanzania December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kwa kufata vigezo vilivyo ainishwa katika tangazo hili. E360 ni kampuni ya Mafunzo na Ushauri inayotoa suluhisho za kielimu na kihandisi...
  7. Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024

    Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024

    Hizi hapa Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania...
  8. Nafasi za kazi Save the Children Tanzania December 2024

    Nafasi za kazi Save the Children Tanzania December 2024

    Save the Children Tanzania inatafuta watu wenye shauku na kujituma kujiunga na timu yetu jijini Dar es Salaam. Ungana nasi katika kuleta mustakabali mzuri kwa kila mtoto! 📌 Nafasi Iliyopo: Mkuu wa Idara ya Ufuatiliaji, Tathmini, Uwajibikaji na Kujifunza (MEAL) Ikiwa uko tayari kuleta...
  9. Nafasi za kazi Shule ya Awali na Msingi The Finest Desemba 2024

    Nafasi za kazi Shule ya Awali na Msingi The Finest Desemba 2024

    SHULE YA AWALI NA MSINGI THE FINEST INATANGAZA NAFASI ZA KAZI KAMA IFUATAVYO; 1. Mwalimu Daraja A (Masomo ya Sayansi) Nafasi 01 2. Dereva (nafasi 02) 3. Msimamizi (Matron) Nafasi 02 4. Meneja wa Shule. (Nafasi 01) 5. Mpishi (Nafasi 01) Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma...
  10. Nafasi za kazi Mwambao Coastal Community December 2024

    Nafasi za kazi Mwambao Coastal Community December 2024

    Mwambao Coastal Community ulianzishwa mwaka 2010 kwa lengo la kusaidia jamii za pwani nchini Tanzania kuunda mifumo thabiti na madhubuti ya usimamizi wa rasilimali zinazosaidia maisha na kuhifadhi mifumo ya ikolojia ya baharini. Mwambao hutumia mbinu inayozingatia haki za binadamu, huku ikiwapa...
  11. Nafasi za kazi Sinotan Truck LTD December 2024

    Nafasi za kazi Sinotan Truck LTD December 2024

    Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Sinotan Truck LTD December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, nia na vigezo vyote vilivyo orodheshwa hapa kwenye hili tangazo, waweze kutuma maombi yao kuanzia siku ya leo.
  12. Nafasi za kazi Nguruka Development Agency (NDA) | Ajira Mpya 50 Kufanya kazi Nje ya Nchi

    Nafasi za kazi Nguruka Development Agency (NDA) | Ajira Mpya 50 Kufanya kazi Nje ya Nchi

    Taasisi ya NGURUKA DEVELOPMENT AGENCY (NDA), ni taasisi iliyosajiliwa kwa usajili namba OONGO/00004986, yenye makao makuu mkoani Kigoma na tawi jijini Dar es Salaam. Taasisi ya NDA, inajihusisha na shughuli za kimaendeleo, Mazingira na ulinzi wa haki za binadamu. NDA inatekeleza miradi yake kwa...
  13. Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024 | Nafasi za kazi za Kuhamia

    Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024 | Nafasi za kazi za Kuhamia

    Wanannchi, Hizi hapa Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024. Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianzishwa kupitia Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1965 na kuanza rasmi kazi tarehe 14 Juni 1966. Katika miaka iliyopita, sheria...
  14. Nafasi za kazi 41 Benki Kuu ya Tanzania Ajira Mpya BOT December 2024

    Nafasi za kazi 41 Benki Kuu ya Tanzania Ajira Mpya BOT December 2024

    Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 41 Benki Kuu ya Tanzania Ajira Mpya BOT December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. Ajira mpya BOT Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa...
  15. Utumishi wametangaza eneo la Usaili wa vitendo MOI

    Utumishi wametangaza eneo la Usaili wa vitendo MOI

    Wasailiwa wa nafasi mbalimbali katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mnajulishwa kuwa, usaili wa vitendo na mahojiano wa tarehe 5 na 6 Disemba, 2024 utafanyika katika ukumbi wa MOI Phase III uliopo jengo jipya la MOI. Aidha, muda wa kufanya usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la kuitwa...
  16. Nafasi za kazi Ifakara Health Institute December 2024

    Nafasi za kazi Ifakara Health Institute December 2024

    Hizi hapa Nafasi za kazi Ifakara Health Institute December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sofa zote zilizo ainishwa katika tangazo hili.
  17. Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia wale wote waliofaulu usaili wa waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR) kama walivyotangaziwa kwenye tangazo la...
  18. Nafasi za kazi Frostan Tanzania December 2024

    Nafasi za kazi Frostan Tanzania December 2024

    Hizi hapa nafasi za kazi kutoka Nafasi za kazi Frostan Tanzania December 2024 kwa niaba ya nyam nyam zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo mpaka tarehe 20 Decemba 2024.
  19. Nafasi za Sales Agent Airtel Dodoma Decemba 2024

    Nafasi za Sales Agent Airtel Dodoma Decemba 2024

    Hizi hapa Nafasi za Sales Agent Airtel Dodoma Decemba 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa zote waweze kutuma maombi yao ya ajira kulingana na muda uliowekwa kwenye tangazo hili. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 Decemba 2024.
  20. Matokeo ya Usaili Utumishi | Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)

    Matokeo ya Usaili Utumishi | Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)

    HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU) ULIOFANYIKA TAREHE 03/12/2024 KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom