Nafasi za Ajira Mbeya cement

Nafasi za Ajira Mbeya cement

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Tintmon

New member

Reputation: 1%
Joined
Dec 5, 2024
Messages
6
MBEYA CEMENT Imetanagza Nafasi za Ajira kwa:-

1.(LEARNING AND DEVELOPMENT COORDINAT) Mratibu wa mafunzo na maendeleo
2.(MAINTENANCE INSPECTOR) Mtaalamu wa ukaguzi na matengenezo

Awe na Degree au Diploma Respectively Waombaji wanaombwa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kupitia: mcc.recruitments@mbeyacement.com kwa kuonyesha nafasi wanayoomba kwenye sehemu ya mada ya barua pepe:
1.Barua ya Kuomba Ajira kwa nafasi husika;
2.Wasifu wa Maisha (CV);
3.Vyeti vya Kitaaluma

Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi: Desemba 22, 2024.
1000015967.webp
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom