Jamani samahani hivi online interview utumishi zinahitaji mtu ambaye anajua computer sana au hata kama unajua normal tu Ani sio sana mana nimeitwa interview utumishi usaili ni online sijawah fanyaga usaili wa hivi samahani naomba kujua level yangu Diploma 
MUNGU awabariki

