Jamani samahani hivi online interview utumishi zinahitaji mtu ambaye anajua computer sana au hata kama unajua normal tu Ani sio sana mana nimeitwa interview utumishi usaili ni online sijawah fanyaga usaili wa hivi samahani naomba kujua level yangu Diploma 
MUNGU awabariki
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an alternative browser.
You should upgrade or use an alternative browser.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
New member
- Joined
- Dec 18, 2024
- Messages
- 3
Normal tu mladi uwe unajua misingi muhimu ya computer kama cv yako ulivyoilezea computer vipengele flan kama Ms word,excel,publisher n.kJamani samahani hivi online interview utumishi zinahitaji mtu ambaye anajua computer sana au hata kama unajua normal tu Ani sio sana mana nimeitwa interview utumishi usaili ni online sijawah fanyaga usaili wa hivi samahani naomba kujua level yangu DiplomaMUNGU awabariki
Lakini mbona tangazo la kuitwa interview limekuja kuwa tutafanya online hii imekaaje mkuuu samahani lakiniInterview ya kwenye computer kwa kwa watu wa degree tu.
Similar content
Most view
View more
| M |
Msaada interview written trade officer II
|
| J |
Land officer II interview questions
|
| R |
Afisa ushirika interview questions
|
| J |
Maswali ya oral interview agricultural engineer II
|
| R |
Branch accountant written interview questions
|