B

Online interview

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Jamani samahani hivi online interview utumishi zinahitaji mtu ambaye anajua computer sana au hata kama unajua normal tu Ani sio sana mana nimeitwa interview utumishi usaili ni online sijawah fanyaga usaili wa hivi samahani naomba kujua level yangu Diploma 🙏🙏 MUNGU awabariki
Normal tu mladi uwe unajua misingi muhimu ya computer kama cv yako ulivyoilezea computer vipengele flan kama Ms word,excel,publisher n.k
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom