Ajira
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Ajira Mpya: Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwananyamala anawatangazia watanzania wenye sifa ya kuomba na kujaza nafasi sitini (60) za ajira ya Mkataba wa kujitolea, kuleta maombi...
PSRS: Leo octoba 23, zimetangazwa Nafasi za Ajira Mpya Kutoka Kwa niaba ya Makumbusho ya Taifa ya Tanzania (NMT), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa na...
Ajira Mpya, Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu kwa ajili ya nafasi ifuatayo iliyotangazwa na Ubalozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa: Waombaji wanapaswa kuwa na angalau...
PSRS: Sekretarieti ya Ajira leo tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA...
PSRS: Leo, tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba amepokea kibali cha ajira chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09 cha...
PSRS: Leo tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Kwa niaba ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye...
PSRS: Leo Sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili UDOM, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili...
PSRS: Leo 22 Octoba 2024, Mkurugenzi wa Mji Kasulu amepokea kibali cha ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Tanzania: Kwa niaba ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye uzoefu, wenye bidii, wabunifu, na waliohitimu vigezo...
Dar Es Salaam: JSC imetangaza orodha ya majina ya walioitwa kazini leo pia waliopata kibali cha ajira Kufuatia kukamilika kwa usaili wa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa...