Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

How to generate voucher
Answers
0
Views
244
WANANCHI, kwa mtu yeyote mwenye nazo naomba utusaidie sampl Question za Data management officer II Especially kwa upande DATA ANALYST AND DATA MANAGER.
Answers
0
Views
417
Daudi Nzagu
Nielekeze jinsi ya kutuma maombi ya kazi ta udeleva katika abacus pharmacy
Answers
0
Views
244
Deluxe
Naomba msaada maswali ya Afisa Hesabu II ya utumishi
Answers
0
Views
1K
Answers
0
Views
405
gloridorice Albert Safari
Msaada kila nikitaka kuverfy email zimamoto inakoma
Answers
0
Views
338
Karim imonje
Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu
Answers
2
Views
533
Yotram Ditram
Je hii barua yangu ipo sahihi kwenye upande wa receiver's address na vipengele vengine, kama kuna kitu hakipo sawa chochote tuelekezane, nazungumzia kwenye ili tangazo la UAE, DUBAI, MSAADA PLZ
Answers
2
Views
656
GODFREY MABULA MALEBO
Hello, samahani kwa mfano kama nida ilikuwa na makosa ukajisajiri ajiraportal, ukafika muda ukailekebisha sasa unataka uweke nida mpya kwenye ajira portal unaweza kufanyaje ili ubadilishe nida
Answers
1
Views
433
Ajira za kilimo wametusahau sana sisi tangu mwezi wa sita mwakajana
Answers
4
Views
526
mwakatz
Back
Top Bottom