Kutoa cheti ajira portal

Kutoa cheti ajira portal

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Pole sana kwa changamoto unayo ipitia, Hakuna anaeweza kukusaidia kutoa cheti isipokuwa wahusika.

Piga simu ajira portal au nenda moja kwa moja ajiraportal/utumishi usaidiwe kwa haraka sana. Njia nzuri ya haraka ni kwenda ofisini au watumie email.
@Dickson123
 
Habari samahanini wadau yoyote. anaweza kunisaidia kutoa cheti kimoja cha level ya juu ajira portal msaada plz
Pole sana kwa changamoto unayo ipitia, Hakuna anaeweza kukusaidia kutoa cheti isipokuwa wahusika.

Piga simu ajira portal au nenda moja kwa moja ajiraportal/utumishi usaidiwe kwa haraka sana. Njia nzuri ya haraka ni kwenda ofisini au watumie email.
@Dickson123
Ahsante kwa jibu vipi umewahisikia mwenye changamoto kama yangu ametoa ushuhuda wa kusaidiwa
Ahsante
 
Nenda ofisi za utumishi chapu ni dakika tu tatizo lako linakuwa limekwisha. Ukipiga simu au kuwatumia email wanaweza kuchukua muda sana kuja kukujibu, ila ukienda unasaidiwa hapo hapo.
@Dickson123
 
Back
Top Bottom