Pole sana kwa changamoto unayo ipitia, Hakuna anaeweza kukusaidia kutoa cheti isipokuwa wahusika.
Piga simu ajira portal au nenda moja kwa moja ajiraportal/utumishi usaidiwe kwa haraka sana. Njia nzuri ya haraka ni kwenda ofisini au watumie email. @Dickson123

Nenda ofisi za utumishi chapu ni dakika tu tatizo lako linakuwa limekwisha. Ukipiga simu au kuwatumia email wanaweza kuchukua muda sana kuja kukujibu, ila ukienda unasaidiwa hapo hapo. @Dickson123