New member
- Joined
- Feb 17, 2025
- Messages
- 3
Habari samahanini wadau yoyote. anaweza kunisaidia kutoa cheti kimoja cha level ya juu ajira portal msaada plz
New member
New member
Habari samahanini wadau yoyote. anaweza kunisaidia kutoa cheti kimoja cha level ya juu ajira portal msaada plz
Ahsante kwa jibu vipi umewahisikia mwenye changamoto kama yangu ametoa ushuhuda wa kusaidiwaPole sana kwa changamoto unayo ipitia, Hakuna anaeweza kukusaidia kutoa cheti isipokuwa wahusika.
Piga simu ajira portal au nenda moja kwa moja ajiraportal/utumishi usaidiwe kwa haraka sana. Njia nzuri ya haraka ni kwenda ofisini au watumie email.
@Dickson123
New member
Thank YouNenda ofisi za utumishi chapu ni dakika tu tatizo lako linakuwa limekwisha. Ukipiga simu au kuwatumia email wanaweza kuchukua muda sana kuja kukujibu, ila ukienda unasaidiwa hapo hapo.
@Dickson123
F |
Niliweka cheti kimakosà ajira portal nashindwa kukifuta na kufanya maombi ya kazi
|
C |
Jinsi ya kujisajili ajira portal
|
![]() |
Nafasi za Ajira Mbeya cement
|
![]() |
Ajira mpya DTB Bank Tanzania
|
E |
Ajira zitakwepo mwaka huu za ualimu
|