Msaada
Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Naomba msaada aliyeweza registration No kwa UDSM
Nilikuwa naomba msaada wa ajira na jinsi yakupata ajira . Nime maliza level two mwaka jana, nasasa nimemaliza mwaka jana elimu ya veta naijitolea TANESCO MKOA WA KIGAMBONI.
Naomba msaada kwa wenye maswali ya usaili wa mahojiano.
Naomba msaada wa maswali kwa sisi tulioitwa katika usaili wa mahojiano mwalimu daraja la lll A