Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria?
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an alternative browser.
You should upgrade or use an alternative browser.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri.
Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa)
Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa)
Asante sanaUkienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri.
Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa)
Similar content
Most view
View more
|
|
Nafasi za Ajira Mbeya cement
|
| D |
Kutoa cheti ajira portal
|
|
|
Ajira mpya DTB Bank Tanzania
|
| F |
Me naomba kusaidiwa link za magroup ya Whatsapp kwa ajira ya TRA
|
| C |
Jinsi ya kujisajili ajira portal
|