S Sarafina New member Reputation: 1% Joined Oct 21, 2024 Messages 2 Dec 18, 2024 #1 Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria? B Online interview Nafasi za Ajira Mbeya cement
Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria? B Online interview Nafasi za Ajira Mbeya cement
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,480 Dec 18, 2024 #2 Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa) Upvote 0 Downvote
Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa)
S Sarafina New member Reputation: 1% Joined Oct 21, 2024 Messages 2 Dec 18, 2024 #3 Gift said: Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa) Click to expand... Asante sana Upvote 0 Downvote
Gift said: Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa) Click to expand... Asante sana
S SARAH2009 New member Joined May 14, 2025 Messages 1 May 14, 2025 #4 unatakiwa kwenda kwa mwanasheria kuhakiki vyeti vyako vyote ndio ujiunge na ajiraportal Upvote 0 Downvote
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,480 May 14, 2025 #5 Ndio, lazima vyeti viwe na mhuri wa mwanasheria ndio uviweke katika account yako ya ajira portal. @SARAH2009 Upvote 0 Downvote
Ndio, lazima vyeti viwe na mhuri wa mwanasheria ndio uviweke katika account yako ya ajira portal. @SARAH2009