S Sarafina New member Reputation: 1% Joined Oct 21, 2024 Messages 2 Dec 18, 2024 #1 Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria? B Online interview Nafasi za Ajira Mbeya cement
Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria? B Online interview Nafasi za Ajira Mbeya cement
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,230 Dec 18, 2024 #2 Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa) Upvote 0 Downvote
Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa)
S Sarafina New member Reputation: 1% Joined Oct 21, 2024 Messages 2 Dec 18, 2024 #3 Gift said: Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa) Click to expand... Asante sana Upvote 0 Downvote
Gift said: Ukienda kwa mwanasheria unaenda na vyeti original kisha yeye mwanasheria ana scan hivyo vyeti kisha anagonga mhuri. Ukiwa una upload ajira portal unaweka cheti copy ambacho kina mhuri w amwanasheria (Kimehakikiwa) Click to expand... Asante sana