Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Mchezo umetamatika: Michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa (CAFFCL) & klabu bingwa Africa (CAFCL)

    Mchezo umetamatika: Michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa (CAFFCL) & klabu bingwa Africa (CAFCL)

    Wawakirishi wa Tanzania Simba sports club wamepata Ushindi katika mchezo wa tatu Kwenye kundi A dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia Magoli yamefungwa na Kibu Denis katika dakika ya 7' na 97' huku bao pekee la Cs Sfaxien likifungwa katika dakika ya 3, Simba wamefikisha alama Sita sawa na Cs...
  2. MAPUMZIKO: Kombe la shirikisho Africa (CAFCC) na michuano ya kilabu bingwa Africa (CAFCL)

    MAPUMZIKO: Kombe la shirikisho Africa (CAFCC) na michuano ya kilabu bingwa Africa (CAFCL)

    Wawakirishi pekee wa Tanzania katika michuano ya shirikisho Africa CAFCC, Simba sports club wanalazimika kutoka suruhu ya Goli Moja Kwa Moja kipindi Cha Kwanza na Cs Sfaxien ya Tunisia huku matokeo mengine ni👇 CD Lunda sul 0 vs 0 Stellenbosch FC Orapa United 0 vs 0 Asc Jaraaf Associacao Black...
  3. Kikosi Cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Tarehe 15 December

    Kikosi Cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Tarehe 15 December

    🚨 Kikosi kinachoanza dhidi ya CS Sfaxien 🇬🇳 Moussa CAMARA 🇹🇿 Shomari KAPOMBE 🇹🇿 Mohamed HUSSEIN 🇹🇿 Abdulrazack HAMZA 🇨🇲 Che MALONE 🇨🇬 Deborah FERNANDEZ 🇨🇩 Fabrice NGOMA 🇹🇿 Awesu AWESU 🇨🇲 Leonel ATEBA 🇨🇮 Jean AHOUA 🇹🇿 Kibu DENIS SUBS: Salim, Kijili, Nouma, Mzamiru, Fernandez...
  4. JOSHUA MUTALE (BUDO) MBIONI KUONDOKA MSIMBAZI

    JOSHUA MUTALE (BUDO) MBIONI KUONDOKA MSIMBAZI

    TOFAUTI na matarajio ya viongozi na hata mashabiki na wapenzi wa Simba wakati anasajiliwa, ukweli ni kwamba Mzambia Joshua Mutale anahesabu siku tangu dirisha dogo la usajili likifunguliwa leo, kutokana na kinachoelezwa majeraha ya mara kwa mara yanaweza kumng’oa Msimbazi. Mutale alisajiliwa...
  5. SIKU YA MECHI

    SIKU YA MECHI

    🇹🇿Simba SC🆚SC Sfaxien🇹🇳 🏆CAF Confederation Cup 🏟️Mkapa Stadium 🗓️Desember 15/2024 ⏰Saa 10:00 Jioni 📡📺𝐋𝐈𝐕𝐄: 𝐀𝐳𝐚𝐦𝐒𝐩𝐨𝐫𝐭𝐬1𝐇𝐃 Mechi mhimu Kwa Simba sports club kwani wakishinda watafufua matumaini Yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano hii ya Shirikisho Africa na kuongeza Point Kwenye...
  6. RATIBA ya Mechi za Leo Jumapili tarehe 15 December 2024

    RATIBA ya Mechi za Leo Jumapili tarehe 15 December 2024

    RATIBA ya Mechi za Leo Jumapili tarehe 15 December 2024 Tanzania – NBC Premier League 14:00 KenGold vs Namungo FC 16:15 JKT Tanzania vs Mashujaa England – Premier League 17:00 Brighton vs Crystal Palace 19:30 Manchester City vs Manchester United 22:00 Chelsea vs Brentford 22:00 Southampton vs...
  7. Michezo ya Leo Ligi ya mabingwa Africa (CAFCL) na Ligi ya shirikisho Africa (CAFCC)

    Michezo ya Leo Ligi ya mabingwa Africa (CAFCL) na Ligi ya shirikisho Africa (CAFCC)

    Wawakirishi pekee wa Tanzania katika michuano ya shirikisho Africa Leo Simba sports club kukipinga na CS SFAXIEN saa 10:00 jioni, uwanja wa Mkapa Tanzania Simba sports club Kwa Sasa wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama tatu Nyuma ya kinara wa kundi Cs Constantine ya Algeria yenye alama 6...
  8. SHARIF IBRAHIM NI MALI YA PAMBA JIJI.

    SHARIF IBRAHIM NI MALI YA PAMBA JIJI.

    Sura ya kazi SHARIF IBRAHIM 🇨🇲 Mbavu ya Kushoto na kulia ⚽️ Mwana TP LINDANDA
  9. MCHEZO UMEMALIZIKA: Stade D'Abidjan 1 vs 1 Orlando pirates

    MCHEZO UMEMALIZIKA: Stade D'Abidjan 1 vs 1 Orlando pirates

    Mchezo umetamatika Kwa suruhu ya Goli Moja kwa Moja. Hamna mbabe Kwa mwenzake, Orlando pirates wanakwenda kushika nafasi ya kwanza na points tano "5" michezo mitatu "3"wakifatiwa na Al Ahly (Misri) mwenye alama nne "4" na michezo miwili "2" huku Stade D'Abidjan akiburuza mkia na alama Moja "1"...
  10. DANIEL AMOAH NI MALI YA NAMUNGO FC.

    DANIEL AMOAH NI MALI YA NAMUNGO FC.

    Klabu ya Namungo ‘The Southern Killers’ imethibitisha kumsajili aliyekuwa beki wa Azam Fc, Daniel Amoah raia wa Ghana kama mchezaji huru baada ya mchezaji huyo kukosa timu ya kuitumikia tangu alipoachana na Wanalambalamba hao mwishoni mwa msimu 2023/24.
  11. Revoo

    Posting Sports

    Posting Sports
  12. MAPUMZIKO: Stade D'Abidjan 0 Vs 1 Orlando pirates

    MAPUMZIKO: Stade D'Abidjan 0 Vs 1 Orlando pirates

    Makgopa anaifungia Orlando Pirates kabla ya mapumziko. 🔥 #TotalEnergiesCAFCL
  13. HAMAD MAJIMENGI NI MALI YA PAMBA JIJI

    HAMAD MAJIMENGI NI MALI YA PAMBA JIJI

    Hamad Majimengi✅✅ ana cover winger zote kulia na kushoto Fundi haswa Amepita: Ruvu shooting, JKU, Coastal Union,Namungo na Singida Black star ✅✅ Karibu kwenye Familia ya wana TP LIND ANDA
  14. PAMBA JIJI YAMTAMBULISHA DEUS KASEKE

    PAMBA JIJI YAMTAMBULISHA DEUS KASEKE

    Jina sio geni Masikioni mwa watu labda kwa wageni wa Ligi ya Tanzania Yes! Deus Kaseke ni mwana TP LINDANDA✅✅
  15. PAMBA JIJI YAMTAMBULISHA HABIB KIYOMBO

    PAMBA JIJI YAMTAMBULISHA HABIB KIYOMBO

    Yes! Habib Kyombo ni Mwana TP LINDANDA ✅✅
  16. MATOKEO CAF MECHI ZA MAPEMA LEO

    MATOKEO CAF MECHI ZA MAPEMA LEO

    Tp Mazembe 1 vs 1 Young African As Maniema union 1 vs 1 As Far Rabati
  17. MO DEWJI, AKABIDHIWA REPORT KAMILI YA USAJIRI MSIMBAZI

    MO DEWJI, AKABIDHIWA REPORT KAMILI YA USAJIRI MSIMBAZI

    Baada ya kuwasili nchini mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi ya Simba SC, Mohammed Dewji 'Mo' amekabidhiwa ripoti ya usajili ya dirisha dogo ya klabu ya Simba SC kutoka kwa bechi la ufundi la Simba linaloongozwa na kocha mkuu Fadlu Davids. Katika ripoti hiyo kocha Fadlu anahitaji wachezaji...
  18. MSIMAMO wa Kundi la Yanga "A" CAF Champions League 2024

    MSIMAMO wa Kundi la Yanga "A" CAF Champions League 2024

    Young African wanahitaji Zaidi kushinda mechi zake za Nyumbani zote dhidi ya Tp Mazembe na Mc Alger na kupata sale au suruhu dhidi ya Al HILAL Ugenini, pia kumuombea matokeo mabaya Mc Alger Leo akiwa anachuana na Al HILAL ambae anaongoza kundi A
  19. MCHEZO UMEMALIZIKA: Tp Mazembe 1  vs 1 Young African

    MCHEZO UMEMALIZIKA: Tp Mazembe 1 vs 1 Young African

    Hii Yanga imepoteza ubora wake gafla sana sio Yanga ile ya msimu uliopita ….. Dube anaokoa Jahazi kwa Wananchi dakika za mwisho “Atleast” wamepunguza mzigo mkubwa . Yanga kuvuna Alama 1 leo pale Lubumbashi inaweza kuwa “Turning Point” yao nzuri sana kurejea kwenye ubora wa Ligi ya Mabingwa...
  20. HT’ TP Mazembe 1 – 0 Young Africans

    HT’ TP Mazembe 1 – 0 Young Africans

    HT’ TP Mazembe 1 – 0 Young Africans
Back
Top Bottom