Yanga walianza na mikakati sahihi , wakiwa na mpira 2-3-4-1 (Joba na Bacca wanakuwa nyuma then Aucho mbele yao “Pembe tatu shape” huku Kibwana na Boka wanakuwa mstari mmoja then Muda anasogea juu sawa na Aziz Ki , Pacome na Mzize …. Baada ya hapo matokeo yake yalikuwa ni nini ?
Yanga walifanya...
Ahoua Charles ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao 5+ na kutoa assists 5+ katika NBC Premier League msimu huu.
◉ 14 - Games
◉ 07 - Goals
◉ 05 - Assists
◉ 12 - G/A
Wachezaji wenye G/A nyingi zaidi katika Nbc Premier League 2024|25 hadi sasa .
◉ 13 — Feisal Salum 🇹🇿
◉ 12 — Ahoua Charles 🇮🇪
◉...
Beki wa Klabu ya Simba sports club, Valentine Nouma hapo juzi aliaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu akiwa kwao Nchini Burkina Faso.
Nouma alipata nafasi ya kusafiri kutoka Tanzania mpaka nchini Kwa Bukina Faso huku akiwa amepata baraka zote kutoka Kwa coach wake Fadlu...
KIKOSI Cha Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December 2024
Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate .
Mchezo huo utapigwa December 29, 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex Mkoani Dar es salaam.
Kuelekea mchezo...
Leo Jumapili ya mwisho Kwa Mwaka huu 2024, itakwenda kushereheshwa na mechi kubwa kabisa ya Ligi kuu Nbc PL Tanzania kati ya Mabingwa watetezi na wawakirishi pekee wa Tanzania kunako michuano ya kilabu bingwa Africa CAFCL, Yanga Dhidi ya Singida Fountain Gate katika uwanja wa KMC Complex Dar es...
Mechi za Leo Jumapili 29 December 2024
Tanzania – Premier League
16:00 Coastal Union vs Kinondoni MC
16:00 Young Africans vs Fountain Gate FC
Tanzania – NBC Championship
16:00 Kiluvya FC vs African Sports
England – Premier League
17:30 Leicester City vs Manchester City
18:00 Crystal Palace vs...
Kocha Fadlu Davids amewapa mapumziko ya siku mbili wachezaji wake ambapo ni leo na kesho Jumatatu
Kikosi kitarejea mazoezini Jumanne asubuhi na jioni kitaanza safari kuelekea Tunisia kwaajili ya mchezo wa CAFCC dhidi ya CS Sfaxien utakaochezwa jumapili ya Januari 5 mwakani 2025
Simba watafika...
Msimu uliopita Vumi Ley Matampi alitwaa Tuzo ya golikipa bora akiwa na Cleen sheet 15 kwenye mechi 24 za Nbc PL alizosimama langoni.
Msimu huu 2024/2025 Moussa Pinpin Camara tayari ana cleen sheet 12 mzunguko wa kwanza tu... (mechi 15)
Amebakiza Cleen sheet 3 kuifikia rekodi ya Matampi...
Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi anatarajia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco kuchukua nafasi ya kocha Ricardo Sa Pinto aliyefutwa kazi wiki iliyopita.
Yusuph Kagoma ni miongoni mwa viungo wachache wazawa wanaofanya vizuri sana kwenye Ligi kuu Tanzania Bara hasa kwenye hizi klabu kubwa.
Kagoma amekuwa nguzo kubwa na imara kwa klabu ya Simba jambo ambalo linampa urahisi zaidi kocha Fadlu wa kumtafuta pacha atakayecheza nae.
Kumuweka benchi...
Simba anaendelea kusalia pale juu nafasi ya kwanza na alama 40 akishinda michezo 13 sale 1 na kupoteza 1 huku akifunga mabao 31 na kuruhusu mabao 5 pekee.
Simba amekamilisha michezo yake yote ya Ungwe ya kwanza. Yanga mwenye alama 36 Nyuma ya Simba huku akiwa na Mchezo mmoja mkononi kukamilisha...
Mchezo wa Dodoma Jiji kutoka Dodoma Dhidi ya Mashujaa Fc kutoka Kigoma umemalizika Kwa Dodoma Jiji kuibuka na Ushindi wa Goli 3 Dhidi ya Goli 1 la Mashujaa, Magoli ya Dodoma Jiji yalifungwa na Mwana kibuta dakika ya 12, Lulihoshi Herietier dakika ya 16 na la mwisho katika dakika ya 83 likifungwa...
Plan ya Fadlu Davids imeanzia kWa huyu mwamba “Jean Charles Ahoua” wakati timu inashambulia kuwa na uharaka wa kufanya maamuzi na pass sahihi kwenda mbele 👏
Ahoua akiwa na mali Kibu anakuwa wides zaidi the same na Mpanzu + Mukwala sio standing straiker anamove nafasi nyingine (spaces zinakuwa...
Game bora kuishuudia…. High intensity 🔥 Simba wanaunda mashambulizi kwa uharaka sana kwa kutumia mawings wao (Mpanzu na Kibu) ambao wanakuwa wides sana : Simba wanaanza Build Up vizuri sana wanaipita pressing ya Singida kwa pasi fupi fupi + Position ya viungo wao 👍
Singida hawakuzuia wakiwa...
Mechi ya leo kwa Simba ni moja kati ya mechi ngumu sana msimu huu,wanakutana na timu bora sana kiwanjan
Nje ya uwanja wapinzani wanaamini kwa trend ya matokeo ya Simba hivi karibuni hii mechi wanakwenda kupoteza!
Changamoto kwa Nswanzurimo ni game approach kwenye huu mchezo, akipokea maelekezo...